Kusambaza maji kwa eneo kubwa, kurusha maji kwa umbali mrefu, kutoa maji kwa usawa na kufanya kazi kwenye pressure ya kati hadi kubwa katika kilimo cha mahindi,nyanya,kabichi,mazao ya shambani na vitalu vya miche pamoja na viwanda vya kusafisha maeneo na kudhibiti vumbi.