tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Malisho ya Wanyama wa Shamba na Virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, 28/05
13 maoni

Super Gro Organic

+1
1
Supplements
Aina
Organic Nutrients
Aina ndogo ya Virutubisho
Cereal, Fruit, Garden Plant, Legume, Potted Plant, Spice, Vegetable
Aina Sambamba ya Mimea
Liquid
Fomu
Bottle
Ufungaji
Ready to Use
Chujua
Yes
Kikaboni
Growth / Vegetative Stage
Awamu ya Kukua
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Kinondoni
1 mchana
TSh 15,000 - 70,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Mwenge Cocacola road ,Dar es salaam
Open
• Jumapili, 07:30-16:00
Super Gro ni kirutubisho cha kilimo kinachotengenezwa na kampuni ya New Life kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa maji na mbolea kwenye mimea. Ni kirutubisho cha kikemikali kinachojulikana kama super wetting agent, ambacho husaidia maji kupenya vizuri kwenye udongo na mizizi ya mimea. Faida za Super Gro Huongeza Mavuno – Husaidia mimea kunyonya virutubisho kwa ufanisi zaidi, hivyo kuongeza uzalishaji. Hupunguza Matumizi ya Maji – Hufanya maji yasipotee haraka, hivyo kupunguza upotevu wa unyevu kwenye udongo. Huongeza Nguvu ya Mimea – Hupunguza Gharama za Mbolea na Dawa – Huwezesha mimea kutumia mbolea na viuatilifu kwa ufanisi zaidi, hivyo kupunguza gharama. Matumizi ya Super Gro Kwa Kilimo: Changanya Super Gro na maji kwa uwiano wa 1ml kwa lita 1 ya maji kisha nyunyizia kwenye mimea.
Super Gro OrganicSuper Gro OrganicSuper Gro OrganicSuper Gro Organic
TSh 160,000

TSh 155,000

≥ vipande 5
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif