tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Malisho ya Wanyama wa Shamba na Virutubisho
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 iliyopita
6 maoni

Kirutubisho Asilia Cha Mimea

+1
1
Supplements
Aina
1st Choice
Chapa
Organic Nutrients
Aina ndogo ya Virutubisho
Other
Aina Sambamba ya Mimea
Other
Viungo
Liquid
Fomu
10kg
Uzito
Bottle
Ufungaji
Concentrate
Chujua
Yes
Kikaboni
Growth / Vegetative Stage
Awamu ya Kukua
Super gro ni kirutubisho asilia cha kukuza mimea, Fomula ya mchanganyiko -Uchanganyaji 1:1000. Ni salama, rahisi kuitumia na kuitunza, haina sumu, haiunguzi, haiwaki. -Imethibtishwa ufanya kazi vizuri -Inapatika kwa mls 250, lita 1, na lita 5. -Super gro husaidia matumizi mazuri ya maji kwa kupunguza nguvu ya uvutano katika eneo hivyo kufanya maji yalowanishe, ambayo husaidia:- Upenyaji mkubwa wa maji katika udongo pamoja na kupunguza maji yanayotembea na mvukizo. Maji mengi hufikia mizizi ya mimea na kubaki hapo yakiwezesha ukuaji wa mimea kwa muda mfupi. -Huboresha utendaji kazi wa pembejeo za kilimo kama vile dawa za kuua wadudu na mbolea. -Inaongeza mazao kwa kiwango cha 167%
Kirutubisho Asilia Cha Mimea
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif