Jipatie chakula cha kunenepesha mbuzi (goats fattening pellet meals, 50kg)
mahususi kwa ajili ya kunenepesha mbuzi wa nyama
kipo kwa mfumo wa punje punje (pellet ) hivyo inapunguza upotevu wa chakula
kina virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya kunenepesha mbuzi na anakuwa na kilo nyingi na nyama nzuri
tunauza kuanzia mifuko mitano
tunapatikana mbezi beach jogoo dar es salaam tanzania