Showcase Ili Ipendeze Weka Artificial Flowers Itazidi Kupendeza
1/2
Dar es Salaam, Kinondoni, 26/07
3 maoni
Showcase Ili Ipendeze Weka Artificial Flowers Itazidi Kupendeza
+1
Deco
Chapa
Mimea na Maua
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-21:00
Maua bandia yenye vase ya kisasa, muonekano wa natural na wa kifahari. Hayahitaji kumwagiliwa wala matunzo. Yanafaa sebuleni, chumbani, ofisini, reception na zawadi. Hudumu kwa muda mrefu na huongeza uzuri wa mazingira.