Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Maua madogo kisasa ya mapambo kwa ofisi, sebuleni na mezani
Hayahitaji maji wala matunzo makubwa
Muonekano wa natural na wa kuvutia
Bei nafuu kwa mapambo ya nyumba na biashara