tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Kutafuta Kazi - CV
  3. Wasifu wa huduma kwa wateja
Dar es Salaam, Kinondoni, 09/12/2024
19 maoni

Sales Agent/Supervisor/Manager

+1
1
Aina ya kazi
Sehemu ya muda
Hali ya Ajira
Kujiajiri
Jinsia
Wanawake
Hali ya Ndoa
Moja
Umri
20

Hisia kuhusu mahali pa awali pa kazi

Manzese Dar es salaam
Mjasiriamali
Oct 2024 - Now
Elimu
Nilihitimu shule ya msingi mpakani nikiwa na ufaulu wa daraja A.Nkajiunga na elimu ya sekondari shule ya sekondari ZANAKI nikihitimu kwa ufaulu wa daraja la kwanza kwa masomo ya biashara,nkajiunga na shule ya sekondari TAMBAZA Dar es salaam nkichukua mchepuo wa ECA nkihitimu kwa ufaulu wa daraja la kwanza pia.Kwa sasa nachukua shahada yangu katika chuo kikuu cha Dar es salaam nkibobea kweny masomo ya fedha yaani 'finance' mwaka wa kwanza
Bado Anasoma
Ndio
Ujuzi
Mbaka Sasa Nina ujuzi wa kuwasiliana vizuri na ushawishi kwa wateja kutokana kauli angu nzuri kwa wateja na uaminifu.Nina hakika na hilo kwasababu katika umri wangu huu mdogo lakini nimefanya biashara ndogondogo tofautitofauti za família na kufanikiwa kuliko walivokuwa wakifanya watu wazima
Lugha
Ndio.Naongea kiingereza na kiswahili
Vyeti
Ndio. Mbaka Sasa Nina vyeti viwili vya elimu ambavyo ni cheti cha form four pamoja na cheti cha form six
Uhitimu wa Juu Zaidi
Shule ya Upili (S.S.C.E)
Marejeo
Hapana
Kiufupi Nina kila sababu ya kuajiriwa katika kampuni yenu 1.mimi Nina uhitaji wa kazi kwa ajili ya kipato kwa kujikimu na mahitaji lakini pia mnahitaji huduma yangu bora na nzuri katika kampuni kutokana na uzoefu wangu 2.Pia ukiachana na kuhitaji kazi kwa ajili ya kipato Mimi ni mtu ambaye Moja ya kitu nnachofanya kwa furaha ni kuhudumia mtu haswa katika biashara ndomana hata ukiangalia elimu yangu tangu msingi nimebobea kwa masomo hayo tu. Hivyo nitaioenda kazi yangu hivyo ntafanya kwa ufanisi mkubwa 3.Moja ya asset kubwa katika biashara ni kuwa na mfanyakazi mwaminifu,hakika mkihitaji mfanyakazi basi wanapatikana lakini mkihitaji kuongeza asset katika biashara basi mnahuitaji wa huduma yangu.AHSANTENI SANA
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usifichue maelezo yako ya kibinafsi
  • Fanya utafiti wako kabla ya kumwalika mtu yeyote kwa mahojiano
  • Usifungue linki ambayo haijajumuishwa kwenye wasifu wa anayetafuta kazi
  • Fanya mahojiano katika mazingira salama na salama ya ofisi
frame_left.gif