tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Mavazi ya Wanaume
  5. Suruali za Wanaume
  6. Suruali za cargo za Wanaume
  7. TU Mavazi ya Wanaume
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 3 yaliyopita
15 maoni

Streetwear Cargo Pants Size 32

+1
Longi
Aina
Ya Wanaume
Jinsia
Nyingine
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Kawaida
Urefu
Vitufe
Kufungwa
Laini
Mtindo wa Mguu
Mizigo
Aina ndogo ya suruali
OFFER YA HARAKA JUMAPILI HII! Nimeagiza hizi cargo mbili kali sana lakini size haijanikaa vizuri mwilini na duka hawataki returns. Mzigo ni mpya 100% haujavaliwa kabisa na lebo/tags zake bado zipo. • Size: 32 • Rangi zilizopo: Olive Green na Peach (Zote ni Size 32) • Bei: 39,000/- TSh tu kwa suruali moja! (Ukinunua zote mbili kwa pamoja nakuachia kwa 70,000/- TSh fixed uokoe hela nyingi zaidi!). • Usafiri: Nazituma kwa Boda Boda popote ulipo Dar es Salaam. Gharama ya usafiri unalipa wewe mteja ukifika. Nicheki sasa hivi au nitext simu076XXXXXXX
Streetwear Cargo Pants Size 32Streetwear Cargo Pants Size 32
TSh 39,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif