tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Mavazi ya Wanaume
  5. Suruali za Wanaume
  6. Suruali za cargo za Wanaume
  7. 100K Mavazi ya Wanaume
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
3 maoni

• BRAND NEW Size 32 Streetwear Cargo Pants

+1
Longi
Aina
Ya Wanaume
Jinsia
Kijani Kibichi
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Vitufe
Kufungwa
Iliyopunguzwa
Mtindo wa Mguu
Mizigo
Aina ndogo ya suruali
Nimeagiza hizi cargo mbili kali sana kutoka duka la Instagram wiki hii kwa 100k lakini size haijanikaa vizuri mwilini na duka hawafanyi returns au exchanges. Mzigo ni mpya 100% haujavaliwa na lebo/tags zake bado zipo kabisa. • Size: 32 • Rangi: Olive Green na Peach • Bei: Moja ni 45,000/- TSh. Ukichukua zote mbili nakupa kwa 80,000/- TSh fixed uokoe hela yako! • Delivery: Gharama ya usafiri unalipa wewe mteja. Nazituma kwa Boda Boda popote ulipo Dar es Salaam. Nicheki hapa au nipigie simu fasta tufanye biashara.
• BRAND NEW Size 32 Streetwear Cargo Pants• BRAND NEW Size 32 Streetwear Cargo Pants
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif