Piga/WhatsApp kabla ya kuja. Magari yaliyo bond: viewing kwa appointment.
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:00-18:00
Toyota Vanguard 2010, Pearl White, km 102,000, imetoka Japan moja kwa moja. Bei iliyotajwa INAJUMUISHA ushuru, clearing na usajili (namba). Unalipa, unaondoka na gari lenye namba, hakuna gharama nyingine. Gari ipo bonded Akachube, Kijitonyama. Njoo ukague, ulipie. Piga/WhatsApp076XXXXXXX