Total Rubia – Ulinzi Wa Nguvu Kwa Injini Za Diesel
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 11 yaliyopita
1 maoni
Total Rubia – Ulinzi Wa Nguvu Kwa Injini Za Diesel
+1
Chapa Mpya
Hali
Other Make
Kufanya
Other Model
Mfano
Nyingine
Aina
Total Rubia ni oil yenye ubora wa juu kwa injini za diesel, ikitoa ulinzi mkubwa dhidi ya uchakavu, joto na uchafu wa engine. Inasaidia engine kufanya kazi kwa nguvu, ulaini na kuongeza maisha ya injini hata kwenye matumizi ya kazi nzito.