Rekebisha kazi ya waya, Nyumba nzima inafanyiwa kazi ya waya, Pandisha daraja ya kazi ya waya, Badilisha kazi ya waya, Inarudisha kazi ya waya
Kazi za waya
zaidi ya miaka tano
Uzoefu wa Kazi za Wiring
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 5,000 - 10,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Magomeni kanisani,Kondoa street
Sinza Mapambano, King's park building 2nd floor
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-18:00
Karibu EDTECH SOLUTIONS, wataalamu wa mifumo ya usalama nchini Tanzania. Tunatoa huduma za kitaalamu za Electric Fence Installation, Electric Fence Repair, na Electric Fence Maintenance kwa nyumba, biashara, ofisi, taasisi, viwanda na mashamba.
Tunatumia vifaa vya ubora wa juu ili kuhakikisha mfumo wako wa usalama unafanya kazi kwa ufanisi na kudumu kwa muda mrefu.
Huduma Zetu
Electric Fence Installation
Electric Fence Repair & Maintenance
CCTV Camera Installation
Alarm Systems Installation
Gate Automation
Security System Consultation
Kwa Nini Uchague EDTECH
Wafundi wenye uzoefu na weledi
Vifaa vya ubora wa juu
Bei nafuu na zinazoshindana sokoni
Huduma ya haraka na ya kuaminika
Dhamana ya kazi na huduma bora kwa wateja
Tunahudumia wateja wa nyumba, biashara, taasisi, maghala na mashamba kote Tanzania.