tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na utunzaji binafsi
  3. Huduma ya Mwili
  4. Mafuta ya mwili
  5. The Body Shop Huduma ya Mwili
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Tea Aroma Bubble Moisturizing Oil

Mafuta ya Mwili
Aina
Chapa Mpya
Hali
Tea Aroma Bubble Moisturizing Oil ni mafuta ya ngozi yanayolainisha kwa kina na kusaidia kurejesha unyevu wa ngozi. Husaidia kupunguza ukavu, kuboresha mwonekano wa ngozi iliyochoka na kuifanya ionekane nyororo na yenye mng'ao wa asili. Inafaa kwa ngozi kavu na ya kawaida. Tumia baada ya kuoga au baada ya skincare routine kwa matokeo bora. Pata yako leo Beauty World Salon, Mwenge Sokoni, Jamirex Hotel ghorofa ya kwanza. Karibu upate ngozi yenye afya na mng'ao wa asili.
TSh 35,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif