tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Huduma ya Mwili
Dar es Salaam, Kinondoni, 30/05
2 maoni

Harufu Mbaya Ya Kinywa Na Meno Kuwa Ya Njano Basi

+1
Bidhaa za weupe za meno
Aina
Aloe Vera
Viungo
Mitishamba
Ladha
Yote ya Asili, Ina Vitamini, Antibacterial, Kwa fizi nyeti
Vipengele
Gel
Aina ndogo
Uwasilishaji
Dar es Salaam • Kinondoni
1 mchana
TSh 5,000
Nchini kote
1-2 mchana
TSh 10,000 - 15,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Forever bright toothgel ina kila kitu meno na kinywa chako kinapenda Ina bee propolis formular kwa ajili ya kuua bacteria wanaozaliana kwenye nta za meno uitwao plaque, bacteria hawa hubadlisha sukari kuwa acid na ndio husababisha jino kutoboka. Ina aloevera kwa wingi kukupa nafasi ya kinywa kisafi zaidi na kinachotoa hatufu nzuri, kama una tatizo la kunuka mdomo unaweza ukameza itakusaidia kudilute harufu kutokea kwenye koo. Ni fluoride free, haina fluoride ambayo imekuwa tatizo kwenye dawa nyingi za meno, fluoride inadhohofisha mifupa na meno inapoingia kwenye damu, athari zake utaziona umri ukisogea kidogo, utajikuta meno yanang'ooka haraka bila ya mpangilio na mifupa inavunjika haraka na kuleta unjano wa meno. Ina formular ya kung'arisha meno kutoka kwenye mchanganyiko wa aloe na mbegu za herbs za jangwani.
TSh 28,000

TSh 25,000

≥ vipande 10
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif