Sodiamu Laureth Sulfate, Sodiamu Lauryl Sulfate, Sodiamu Hydroxide, Mafuta ya Palm, Omega-tatu, Mafuta ya Mizeituni, Nyingine
Viungo
Nyingine
Uundaji
120ml
Kiasi
Nyingine
Marashi
Uso
Eneo la Mwili
Aina zote za ngozi
Aina ya Ngozi
Yote ya Asili, Bila Pombe, Bila Ammonia, Nyingine, Vegan, Sukari-Bure
Vipengele
Ukubwa wa Sampuli
Ukubwa
Nyingine
Ufungaji
12month
Kipindi Baada ya Kufungua
Chapa Mpya
Hali
Faida za Kutumia Aloe Scrub
Huondoa Seli Zilizokufa:
Inasaidia kuondoa ngozi iliyochoka na kuruhusu ngozi mpya na nyororo kutokea.
Huzuia Chunusi na Mitisera (Blackheads):
Kwa kusafisha uchafu ulioko ndani ya matundu ya ngozi, inasaidia kuzuia kutokea kwa chunusi.
Hulainisha Ngozi:
Inaiacha ngozi ikiwa na ulaini wa kipekee na inayoweza "kupumua" vizuri.
Haina Kemikali Kali:
Kwa sababu chembechembe zake ni za Jojoba (asili), haisababishi michubuko midogo (micro-tears) kwenye ngozi kama scrub nyingine za bei nafuu.
Matumizi ya Mwili Mzima:
Inaweza kutumika usoni na pia mwilini (kwenye magoti, viwiko, au miguuni).
Mchanganyiko wa Matokeo Bora (Routine)
✓ Safisha uso kwa Aloe Scrub (huondoa uchafu).
✓ Paka Alpha-E Factor (hurutubisha na vitamini).
✓ Malizia na Aloe Moisturizing Lotion (hufunga unyevu ndani).