tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Huduma ya Mwili
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 13 yaliyopita
37 maoni

Diabetic Foot Cream

+1
1
Nyingine
Aina
Diabetics foot cream Hii ni cream ambayo inatumiwa na watu wenye changamoto ya sukari ili kutunza miguu yao Watu wenye sukari huwa wapo kwenye hatari kubwa ya kupata vidonda,ngozi kupasuka,maambukizi kwenye miguu kwasababu ya mzunguko mdogo wa damu na hisia kupungua sehemu ya miguuni Kazi za hii cream Inasaidia kuponesha ngozi iliyopasuka kabla haijageuka kuwa vidonda Ni antibacterial na antifungal hivyo husaidia dhidi ya bacteria na fungus Inasaidia damu kusaambaa vizuri kwenye ngozi ya miguu Husaidia ngozi kupata hisia tena pia kupunguza miwasho inayosababishwa na ukavu Inasaidia kulinda ngozi dhidi ya kisuguano
TSh 15,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif