Mikoba mipya ya kifahari ya Luxury yenye muundo wa kisasa wa maua na nakshi za dhahabu . Umetengenezwa kwa ngozi imara, una nafasi ya kutosha ndani, na unakuja na kamba ya ziada ya kurefusha ya kubebea begani (detachable strap), ni mzuri sana kwa mtoko wa ofisini, sherehe, na matumizi ya kila siku.
Mzigo unaagizwa kutoka China. Usafirishaji ni kulingana na chaguo lako: kwa Ndege (siku 7-14) au kwa Meli (siku 30-45). Karibu uweke oda yako!"