tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Huduma
  3. Huduma za Magari
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
3 maoni

Fundi Magari

+1
Kielle automotive
Jina la kampuni
Huduma za Magari
Aina za Huduma
zaidi ya miaka tano
Uzoefu wa Kazi
Karibu kwa huduma bora za ufundi wa magari kwa bei nafuu na kazi yenye ubora. Tunatoa huduma zifuatazo: - Matengenezo ya injini za magari. - Uchunguzi na utatuzi wa hitilafu za magari. - Matengenezo ya mfumo wa timing. - Matengenezo ya magari ya aina mbalimbali. - Kubadilisha vipuri na kufanya service za magari. - Ushauri kuhusu matatizo ya injini na utendaji wa gari. Tunafanya kazi kwa umakini, uaminifu na kuhakikisha mteja anaridhika na huduma anayoipata. Eneo: Dar es Salaam – Kinondoni,
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Angalia Maoni ya wengine ili kuhakikisha kuwa mtu huyo anaaminika
  • Fanya maafikano kuhusu majukumu yako na mshahara utakaolipwa
  • Kutana ana kwa ana na mtu katika sehemu salama ya umma
frame_left.gif