30W Ceiling Speaker ni spika inayowekwa ndani ya ceiling kwa ajili ya kutoa sauti safi na yenye usambazaji mzuri kwenye maeneo mbalimbali. Inafaa kwa smart homes, offices, hotels, restaurants, shops, conference rooms na commercial spaces.
Features:
Power: 30W
Clear & balanced sound
Flush/ceiling-mounted design
Inafaa kwa background music na announcements
Rahisi ku-install kwenye ceiling
Design ya kisasa inayopendeza na interior
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na kibiashara