Je, unamiliki Baa, Gestibu, Hoteli, Duka, au Eneo la Biashara na unataka kuanzisha biashara ya kuuza internet (Wi-Fi) kwa wateja wako bila usumbufu?
Tunakuletea Clay WiFi – mfumo madhubuti unaorahisisha biashara ya Wi-Fi kwa kukusanya malipo na kugawa vocha au data kiotomatiki!