GPS Tracker Gf-07 Ni Nzuri Kutracking Location Ya Kitu
1/2
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 19 yaliyopita
9 maoni
GPS Tracker Gf-07 Ni Nzuri Kutracking Location Ya Kitu
Usalama na Vifaa vya Ufuatiliaji
Aina
Chapa Mpya
Hali
Gf-07
Chapa
Gps tracker ni nzuri sana iko na app yake una download app yake kisha unaweka laini ya simu kwenye kifaa kisha utaona sehemu kilipo kitu chako kupitia simu yako tu kifaa hichi kinakaa na chaji hadi siku saba ukikichaji