Eneo Lenye Ukubwa Wa SQMT 1400 Linauzw Lipo Tegeta Nyaishozi
1/7
+ 2
picha
Dar es Salaam, Kinondoni, Kinondoni, 23/03
5 maoni
Eneo Lenye Ukubwa Wa SQMT 1400 Linauzw Lipo Tegeta Nyaishozi
+1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
1400sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari
Vituo vya
Yes
Chaji ya Huduma
30000
Ada ya Utafiti
30000
Ada ya Maendeleo
30000
Ada ya Kisheria
30000
Ada ya Agenti
Kiwanja kizuli sana kwa biashala ya kujenga apartment kiwanja kipo tegeta nyaishozi nikiwanja cha pili kutoka lami kina ukubwa wa sqmt 1400 kiwanja kina hati miliki ya wizala kiwanja kizuli sana kipo sehem nzuli bei kitonga jamaa anashida sana bei million 65 yani sjuwi nikwambie nini njoo uone mwenyewe tena wahi mapema yan kiwanja keki sana
#Cal071XXXXXXX