tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Biashara Inauzwa
Dar es Salaam, Kinondoni, Kinondoni, 31/07
66 maoni

Bei Imeshuka – Fursa Ya Kipekee Ya Uwekezaji! Commercial Plot Kinondon

+1
Ardhi ya Biashara
Aina
2530sqm
Mita za mraba
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Partially Developed
Development Status
Unpaved Road
Access Road
Kutoka TZS 350,000,000 hadi TZS 300,000,000 tu! Je, unatafuta eneo bora la kuwekeza kwenye biashara? Hii ndiyo nafasi yako ya kumiliki Commercial Plot yenye hati halali katika moja ya maeneo yanayokua kwa kasi ndani ya Kinondoni. Location:Nyakasangwe, Kinondoni District Ukubwa: 2,530 SQM Matumizi:Commercial (Retail & Wholesale) Inafaa kwa miradi kama: Shopping Plaza Warehouse ya Biashara Petrol Station Supermarket Office & Retail Complex Distribution Hub Eneo lina potential kubwa ya kuongezeka thamani kwa uwekezaji wa muda mrefu.Na lipo karibu na Mahakama Kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati, bei ina nafasi ndogo ya kujadiliwa (Negotiable). Usisubiri hadi uchelewe!Fursa kama hii hazidumu sokoni kwa muda mrefu. Wahi kuwasiliana nami leo kabla plot haijapata mmiliki mpya. Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi au kupanga kutembelea eneo.
Bei Imeshuka – Fursa Ya Kipekee Ya Uwekezaji! Commercial Plot KinondonBei Imeshuka – Fursa Ya Kipekee Ya Uwekezaji! Commercial Plot KinondonBei Imeshuka – Fursa Ya Kipekee Ya Uwekezaji! Commercial Plot Kinondon
TSh 300,000,000Outright Price
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif