kiwanja kikubwa kinauzwa kinondoni - dar
ni adimu sana kupata 742 sqm kinondoni!
minja real estate & car broker - dar only inakuletea:
maelezo ya kiwanja:
nyumba mbili zimeunganishwa zinauzwa
ukubwa: 742 sqm kwa viwanja vyote viwili
bei: milioni 800 kwa vyote (inaongea)
hati: hati safi - imethibitishwa na wizara ya ardhi
mahali: kinondoni, dar - sehemu inafikika
barabara: nzuri, karibu na barabara kuu
inafaa kwa:
apartment, hostel ya wanafunzi, hotel, lodge, godown, warehouse, ofisi
hii ni fursa adimu ya uwekezaji katikati ya kinondoni. kiwanja ni kikubwa, kimekaa vizuri, kiko tayari kwa ujenzi.
mungu aibariki kazi ya mikono yangu
kwa maelezo zaidi na kuona kiwanja:
piga / whatsapp: +