Dar es Salaam, Kinondoni, Kimara, siku 1 iliyopita
46 maoni
Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni
+1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
308sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Yes
Chaji ya Huduma
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.
Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei: Tzs Milioni 35.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano078XXXXXXX