Dar es Salaam, Kinondoni, Kimara, siku 1 zilizopita
26 maoni
3bdrm House in Kimara for sale
+1
Nyumba
3 vyumba vya kulala
bafu 2
Nyumba
Aina ya mali
Kimara temboni
Anwani ya Mali
600sqm
Ukubwa wa sifa
3
Vyumba vya kulala
Imetumika kwa Haki
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyoo
2
Bafu
Minja real estate &car broker inakuletea:-
utambulisho:-
nyumba inauzwa kimara temboni.
ukubwa wa nyumba:-
vyumba vitatu-1 master.
jiko
sebule
public toilet.
ukubwa wa kiwanja:-
sqm 600.
document:-
kuna hati ya wizara.
bei:-
mil 250.
kama una nyumba unauza nicheki inbox nikusaidie kuuza.
mungu bariki kazi za mikono yangu.