Dar es Salaam, Kinondoni, Kimara, masaa 2 yaliyopita
1 maoni
Mini Flat in Kimara Temboni for Rent
+1
Ghorofa Ndogo
2 vyumba vya kulala
bafu 2
kimara temboni
Anwani ya Mali
kimara temboni
Jina la Mtaa
700sqm
Ukubwa wa sifa
Ghorofa Ndogo
Aina ya mali
Imetumika kwa Haki
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyumba vya kulala
2
Bafu
Pets Allowed
Pets
Yes
Chaji ya Huduma
20000
Ada ya Wakala
400000
Ada ya Tahadhari
Wardrobe
Balcony
Rafu ya jikoni
Microwave
Ghorofa
Chandelier
Eneo la Kula
Makabati ya Jikoni
Sakafu ya vigae
Umeme wa masaa 24
Hali ya Hewa ya ukondishaji
Mita ya Kulipwa Kabla
Jokofu
Ibukizi ya Ibukizi
Apartment nzuri ya kisasa sana sana
apartment hii ina sifa zifuatazo na itakua wazi kuanzia tarehe 10/07/2022
#vyumba 2 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master
#sebule kubwa
#dining
#jiko kubwa la kisasa
#aircondition
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#makabati ya vyumbani
#garden
#parking
apartment hii ipo kimara temboni kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 4 tuu kwa miguu
bei ni 400k x 6
apartment hii ipo jirani kabisa na barabara ndugu mteja changamka usitume message hautajibiwa kwa wakati piga simu
apartment hii inapangishwa ni ya juu gorofani na itakua wazi kuanzia tarehe 10/07/2022 kuona na kulipia ni ruksa kabisa