Dar es Salaam, Kinondoni, Kimara, siku 1 zilizopita
3 maoni
3bdrm Bungalow in Kimara Temboni for rent
+1
Bungalow
3 vyumba vya kulala
bafu 2
Kimara temboni
Anwani ya Mali
Kimara temboni
Jina la Mtaa
600sqm
Ukubwa wa sifa
Bungalow
Aina ya mali
Kutengwa
Aina ndogo
Imetumika kwa Haki
Hali
Bila samani
Samani
3
Vyumba vya kulala
2
Bafu
20000
Ada ya malipo ya huduma
500000
Ada ya malipo
500000
Ada ya Wakala
20000
Ada ya Tahadhari
Umeme wa masaa 24
Hali ya Hewa ya ukondishaji
Ghorofa
Chandelier
Eneo la Kula
Rafu ya jikoni
Ibukizi ya Ibukizi
Mita ya Kulipwa Kabla
Sakafu ya vigae
Wardrobe
Nyumba nzuri ya kisasa inapangishwa na ipo mtaa mzuri sana inapangishwa zipo mbili tuu kwenye fensi moja na zipo mbalimbali na hii moja ndio inapangishwa
apartment hii ina sifa zifuatazo
#vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master
#sebule kubwa
#dining
#jiko kubwa la kisasa
#public toilet
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#zipo apartment 2 tuu kwenye fensi moja na zipo mbalimbali na hii moja ndio inapangishwa
#garden
bei ni 500k x 6
ilipwe laki 5 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu
kuoneshwa nyumba hii utalipia shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba utalipia kodi ya udalali kodi ya mwezi mmoja
apartment hii ipo kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 12 tuu kwa miguu
njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba