Rafu ya jikoni, Sakafu ya vigae, Ibukizi ya Ibukizi, Kifaa cha kuosha sahani, Umeme wa masaa 24, Chandelier, Hali ya Hewa ya ukondishaji
Vituo vya
Nyumba ina vyumba2 vya kulala kimoja ni master, sebule, jiko na public toilet, nyumba ipo ndani ya fence inayoingiza gari na inajitegemea yenyewe kwenye fence hivyo luku pamoja na mita ya maji ni yakwako mwenyewe... karibu sana mazingira ni rafiki na usafiri upo wa kutosha na pia kama unausafiri wako mwenyewe unafika mpaka ndani ya nyumba