Dar es Salaam, Kinondoni, Kimara, masaa 3 yaliyopita
11 maoni
2bdrm Duplex in Kimara Temboni for Rent
+1
Duplex
2 vyumba vya kulala
1 bafu
kimara temboni
Anwani ya Mali
kimara temboni
Jina la Mtaa
800sqm
Ukubwa wa sifa
Duplex
Aina ya mali
Imejengwa Mpya
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyumba vya kulala
1
Bafu
No Pets
Pets
20000
Ada ya malipo ya huduma
300000
Ada ya malipo
20000
Ada ya Wakala
300000
Ada ya Tahadhari
Kifaa cha kuosha sahani
Ghorofa
Chandelier
Umeme wa masaa 24
Rafu ya jikoni
Balcony
Microwave
Wardrobe
Mita ya Kulipwa Kabla
Sakafu ya vigae
Makabati ya Jikoni
Ibukizi ya Ibukizi
Apartment nzuri na ipo mtaa mzuri sana inapangishwa
apartment hii ina sifa zifuatazo
#vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master
#sebule nzuri
#jiko kubwa
#public toilet
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#paving
#parking
ilipwe laki 3 kwa kwa mwezi malipo ya miezi 6
apartment hii ipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni bajaji sh 500 na ukishuka tuu kwenye bajaji unapiga teke mlango
njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba