Dar es Salaam, Kinondoni, Kimara, masaa 3 yaliyopita
35 maoni
2bdrm Duplex in Kimara Bucha for rent
+1
Duplex
2 vyumba vya kulala
1 bafu
Kimara bucha
Anwani ya Mali
Kimara bucha
Jina la Mtaa
800sqm
Ukubwa wa sifa
Duplex
Aina ya mali
Imetumika kwa Haki
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyumba vya kulala
1
Bafu
300000
Ada ya malipo ya huduma
20000
Ada ya malipo
300000
Ada ya Wakala
300000
Ada ya Tahadhari
Umeme wa masaa 24
Hali ya Hewa ya ukondishaji
Ghorofa
Balcony
Chandelier
Eneo la Kula
Kifaa cha kuosha sahani
Makabati ya Jikoni
Rafu ya jikoni
Microwave
Ibukizi ya Ibukizi
Mita ya Kulipwa Kabla
Jokofu
Sakafu ya vigae
Wardrobe
Apartment nzuri kubwa ya kisasa inapangishwa itakua wazi kuanzia tarehe 30/10/2023
apartment hii ina sifa zifuatazo
#vyumba 2 vikubwa vya kulala
#sebule kubwa
#hakuna master
#jiko kubwa lina makabati mazuri
#choo kizuri cha ndani kwa ndani
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#parking
!!fensi ipo imejengwa nusu ila kuna walinzi wanalinda na usalama ni wa uhakika
bei ni 300k x 6
ilipwe laki 3 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu
apartment hii ipo kimara bucha kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 5 kwa miguu
kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia kodi ya mwezi mmoja ya udalali
ndugu mteja apartment hii itakua wazi kuanzia tarehe 30/10/2023 kuona ndani endapo mpangaji atakuwepo ni ruksa kabisa na malipo yanapokelewa