Dar es Salaam, Kinondoni, Kimara, masaa 3 yaliyopita
10 maoni
2bdrm Apartment in Kimara Ya Mbezi Kwa for rent
+1
14
Ghorofa
2 vyumba vya kulala
1 bafu
Kimara ya mbezi kwa msuguri
Anwani ya Mali
Kimara ya mbezi kwa msuguri
Jina la Mtaa
800sqm
Ukubwa wa sifa
Ghorofa
Aina ya mali
Imetumika kwa Haki
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyumba vya kulala
1
Bafu
350000
Ada ya malipo ya huduma
20000
Ada ya malipo
350000
Ada ya Wakala
35000
Ada ya Tahadhari
Umeme wa masaa 24
Ghorofa
Balcony
Chandelier
Eneo la Kula
Kifaa cha kuosha sahani
Makabati ya Jikoni
Rafu ya jikoni
Microwave
Ibukizi ya Ibukizi
Mita ya Kulipwa Kabla
Jokofu
Sakafu ya vigae
Wardrobe
Apartment nzuri na ipo mtaa mzuri sana inapangishwa ni lami tupu hadi kwenye nyumba
apartment hii inasifa zifuatazo
#vyumba 2 vya kulala na vyumba vyote ni master bedroom
#sebule
#jiko kubwa lenye makabati
#public toilet
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#maji yanatoka ndani masaa 24
#parking kubwa
#garden
!! inapangishwa ni ya chini
bei ni 350k x 6
ilipwe laki 3 na nusu kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu
apartment hii ipo mbezi kwa msuguri upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 12 tuu kwa miguu au unaweza kupanda usafiri wa bajaji sh 500
#kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba utalipia pesa ya udalali shilingi laki 3 na elfu 50