tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na viwanja vya kuuza
  4. Ardhi ya Kilimo Inauzwa
Pwani, Mkuranga, Kimanzichana, masaa 4 yaliyopita
2 maoni

Shamba Zuri Linauzwa

Shamba
Aina
166050sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Unpaved Road
Barabara ya Ufikiaji
Shamba linauzwa eneo linaitwa Beta, Kijiji cha Kimbwanindi, Wilaya ya Mkuranga, kando ya barabara ya Dar kwenda Lindi (kilometa 1 toka barabara ya lami) Shamba Lina ukubwa wa eka 41, sawa na square mita 166,050. Bei ni shilingi 4,500 per square mita.Shamba lipo km 60 kutoka Dar city center au km 40 toka Mbagala. Shamba lina miembe, minazi,michungwa, limau, michenza na miti ya mbao aina mitiki mweupe na ipo tayari kwa kuvunwa.
Shamba Zuri Linauzwa
TSh 747,225,000Outright Price
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif