tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na viwanja vya kuuza
  4. Ardhi ya Matumizi Mchanganyiko Inauzwa
Imefaulu
Kisarawe, Pwani, Kiluvya, masaa 4 yaliyopita
12 maoni

Kiwanja Kwa Mkopo Kiluvya Manzese

+1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
306sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Maji, Usambazaji wa Stima
Vituo vya
Fully Developed
Hali ya Maendeleo
Yes
Chaji ya Huduma
15000
Ada ya Utafiti
Mradi wa viwanja kiluvya Manzese ! Bei ni `1, utapata kiwanja kuanzia SQM 306 ! Umbali ni 2.5 kilometa kutoka morogoro road (kikuvya madukani) ! Malipo unaweza ukalipa Cash au ukalipa kwa Awamu ( instalment) ! Malipo ya awamu utaanza kulipa asilimia 50 ambayo ni nusu ya bei ya kiwanja na nusu inayobaki utalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 6 bila Riba na bila kupangiwa mfumo wa malipo. ! Mradi huu kwa kulipa kwa awamu utaanza kulipa million `ndio nusu ya bei, na million `dio utalipa kidogo kidogo boss wangu. ! Tupigie simu kwa huduma ya haraka twende ukatembelee mradi huu mzuli. ! Kutembelea miradi yetu ni kila siku kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni, kwa garama nafuu ya Tsh `kwa mtu mmoja. ! PIA TUNAMIRADI MIZURI KIBAHA KUANZIA BEI YA MILLION 2.5 NA KUENDELEA.
Kiwanja Kwa Mkopo Kiluvya Manzese
TSh 9,180,000per Plot
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif