Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, masaa 3 yaliyopita
41 maoni
Viwanja Vinauzwa Kigamboni Kisota
+1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
600sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
Yes
Chaji ya Huduma
30000
Ada ya Maendeleo
Viwanja vinne vinauzwa
viwanja ni tambalare kabisa miundombinu ya kijamii ni mizuri sana na mahitaji yote muhimu yanapatikana kwa urahisi maji na umeme vyote vipo site viwanja vipo vinne unaweza kuchukua kimoja au ukaunganisha vyote kila kiwanja kina sqm 600 na bei ya kila kiwanja nakuwekea hapo chini