tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Matumizi Mchanganyiko Inauzwa
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, siku 1 iliyopita
50 maoni

Shamba Linauzwa Kigamboni Buyuni

+1
1
Ardhi ya matumizi mchanganyiko
Aina
8000sqm
Mita za mraba
Mchanganyiko
Matumizi ya Sifa
50000
Ada ya Agenti
Shamba linauzwa kibungo Buyuni kigamboni jijini Dar es Salaam Shamba lina ukubwa wa ekari 2 (Square meter 8000) Shamba lipo umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara kuu ya kigamboni - buyuni Bei yake sasa ni shilingi ,badala bei ya awali Inatakiwa pesa ya chap chap.,Ni zaidi ya bure,naweza kusema linatupwa.Wahi leo kabla halijachukuliwa, Buyuni ndio habari ya mjini sasa hivi.Umeme upo mbele na nyuma. Njoo uyajenge. Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu
Shamba Linauzwa Kigamboni BuyuniShamba Linauzwa Kigamboni BuyuniShamba Linauzwa Kigamboni BuyuniShamba Linauzwa Kigamboni BuyuniShamba Linauzwa Kigamboni Buyuni
TSh 25,000,000per Plot
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif