tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Makazi Inauzwa
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, 23/04
16 maoni

Plot Inauzwa Kigamboni Mwanzo Mgumu

+1
1
Ardhi ya Makazi
Aina
390sqm
Mita za mraba
Makazi
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Kiwanja kinauzwa kigamboni cheka mtaa wa Mwanzo mgumu.kiwanja kipo kilomita2 TU kutoka Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni au kimbiji.Uzuri wa kiwanja hiki kimepimwa na ukinunua hati itatolewa kwa majina Yako Moja kwa Moja.Miundombinu yake ni rafiki na Barabara yake kubwa Pana na imechongwa.Pia unaweza lipia ata kwa awamu mbili, Utaratibu unataka ulipie 50%ya Bei ya kiwanja itayobaki utaendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 6.
Plot Inauzwa Kigamboni Mwanzo Mgumu
TSh 10,140,000per Plot
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif