MRADI MPYA WA VIWANJA KIGAMBONI – PUNA
Unatafuta kiwanja cha bei rafiki kwa ajili ya kujenga au kuwekeza?
KIGAMBONI – PUNA
mradi upo umbalia wa mita 100 tu kutoka barabara kuu.
*BEI: NI 10000 KWA SQM 1, utapata kiwanja kuanzia milion 3 na wahi sasa mradi huu mzuli viwanja vya 2.5 tayali vimeisha vimebaki vya milion 3 na kuendelea.
*Unaanza na nusu, iliyobaki unalipa ndani ya miezi 6 bila riba
Site visit kila siku
PIGA CM KWA HUDUMA YA HARAKA