tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Makazi Inauzwa
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, 03/04
12 maoni

Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Mwanzo Mgumu

+1
1
Ardhi ya Makazi
Aina
450sqm
Mita za mraba
Makazi
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa kigamboni MwanzoMgumu.kipo umbali wa klm 1 ukitokea Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni.kiwanja kimepimwa na ramani yake imeshajajiliwa na wizara ukinunua hati itatolewa kwa majina Yako Moja kwa Moja.Uzuri wa kiwanja hiki kipo tambarale na ardh yake ni kichanga ambayo aituami maji.pia unaweza ukalipia kwa awamu mbili hiki kiwanja,Anza na nusu Bei ya kiwanja itayobaki utaendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 6.Huduma za kijamii ni rafiki,maji,yapo, Umeme upo, Barabara zinapitika muda wote.kwa maelezo zaidi nipigie.
Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Mwanzo Mgumu
TSh 11,700,000per Plot
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif