tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Makazi Inauzwa
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, 03/04
26 maoni

Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Kibada

+1
Ardhi ya Makazi
Aina
557sqm
Mita za mraba
Makazi
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
30000
Ada ya Agenti
Kiwanja kina hati kinauzwa kigamboni kibada,kiwanja kizuri na kipo tambarale.kiwanja kimepimwa na kina hati(title deed)kiwanja kipo umbali wa kilomita 2 kutoka Barabara kubwa ya lami ya kibada.kilomita 6 ukitokea darajani na kilomita7 ukitokea ferry kigamboni.kiwanja kipo mtaa mzuri wa kishua yaani unajenga na kuhamia TU.kwlal maelezo zaidi nipigie
Kiwanja Kinauzwa Kigamboni KibadaKiwanja Kinauzwa Kigamboni Kibada
TSh 35,000,000per Plot
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif