tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Ardhi na Viwanja Inauzwa
  4. Ardhi ya Makazi Inauzwa
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, 22/04
46 maoni

Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Cheka

+1
Ardhi ya Makazi
Aina
300sqm
Mita za mraba
Makazi
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Stima, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Kiwanja kinauzwa kigamboni cheka,kiwanja kimepimwa na tayar ramani yake ina approval ya wizara ya ardhi.Uzuri wa kiwanja hiki kipo umbali wa kilomita 2 TU kutoka Cheka mwisho,kilomita20 ukitokea ferry kilomita18 ukitokea darajani.Kiwanja ni Cha Kona na tayar kipo sehemu ambayo tayari imeshaanza kujengeka yaani unajenga na kuhamia TU.Umeme upo,maji yapo,majirani wapo na kipo sehemu ambayo tambarale,ardhi ya kichanga na aituami maji
Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Cheka
TSh 7,800,000per Plot
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif