tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Nyumba na Vyumba Inauzwa
  4. Nyumba na Vyumba Inauzwa
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, masaa 16 yaliyopita
3 maoni

3bdrm House in Kigamboni for sale

+1
Nyumba
3 vyumba vya kulala
bafu 2
Nafasi ya Maegesho
Nyumba
Aina ya mali
Kutengwa
Aina ndogo
kibada mwela
Anwani ya Mali
800sqm
Ukubwa wa sifa
3
Vyumba vya kulala
Imejengwa Mpya
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyoo
2
Bafu
Yes
Nafasi ya Maegesho
Ndio
Huru ya Kujitegemea
30000
Ada ya Agenti
Balcony
Eneo la Kula
Ibukizi ya Ibukizi
Makabati ya Jikoni
Maji Moto
Sakafu ya vigae
Umeme wa masaa 24
NYUMBA INAUZWA – KIBADA MWELA, KIGAMBONI Karibu umiliki nyumba nzuri yenye mazingira tulivu na nafasi kubwa ya kuishi kwa raha pamoja na familia yako. Nyumba ipo Kibada Mwela, Kigamboni, katika eneo linaloendelea kukua kwa kasi na lenye miundombinu mizuri ya makazi. Nyumba ina: Vyumba 3 vya kulala Chumba 1 Master Bedroom Sebule kubwa na yenye mwanga wa kutosha Dining Room Jiko la kisasa Public Toilet Imejengwa kwenye kiwanja kikubwa cha SQM 800 kilichopimwa rasmi, kikikupa nafasi ya kutosha kwa bustani, maegesho ya magari, servant quarter au maboresho mengine ya baadaye. Hati itatolewa kwa jina la mnunuzi, jambo linalokupa uhakika wa umiliki salama na wa kudumu.
3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale
TSh 190,000,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif