tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Nyumba na Vyumba Inauzwa
  4. Nyumba na Vyumba Inauzwa
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, 01/07
10 maoni

3bdrm House in Kigamboni for sale

+1
Nyumba
3 vyumba vya kulala
bafu 3
Nyumba
Aina ya mali
Kutengwa
Aina ndogo
Dege
Anwani ya Mali
900sqm
Ukubwa wa sifa
3
Vyumba vya kulala
Jengo Lisilokamilika
Hali
Bila samani
Samani
3
Vyoo
3
Bafu
Ndio
Huru ya Kujitegemea
30000
Ada ya Agenti
NYUMBA INAUZWA – DEGE, KIGAMBONI Je, unatafuta nyumba kubwa yenye kiwanja cha kutosha na nafasi ya kuikamilisha kwa mtindo wako? Hii ni fursa nzuri kwako. Eneo: Dege, Kigamboni Ukubwa wa kiwanja: SQM 900 Vyumba: 3 vya kulala (2 Master Bedroom) Sebule kubwa Dining Jiko Public Toilet Nyumba imefikia asilimia 80 ya ujenzi, hivyo utapata nafasi ya kumalizia kwa ubora na muonekano unaoutaka. Kwa bei hii unapata kiwanja kikubwa pamoja na nyumba yenye msingi imara katika eneo lenye maendeleo ya haraka la Kigamboni. Wasiliana nami leo kwa maelezo zaidi au kupanga muda wa kwenda kuiona.
3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif