tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Nyumba na Vyumba Inauzwa
  4. Nyumba na Vyumba Inauzwa
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, siku 1 iliyopita
1 maoni

3bdrm House in Kigamboni for sale

+1
Nyumba
3 vyumba vya kulala
bafu 2
Nafasi ya Maegesho
Nyumba
Aina ya mali
Kutengwa
Aina ndogo
kibugumo
Anwani ya Mali
300sqm
Ukubwa wa sifa
3
Vyumba vya kulala
Jengo Lisilokamilika
Hali
Bila samani
Samani
2
Vyoo
2
Bafu
Yes
Nafasi ya Maegesho
2
Idadi ya magari
Ndio
Huru ya Kujitegemea
30000
Ada ya Agenti
NYUMBA INAUZWA – KIBUGUMO, KIGAMBONI Je, unatafuta nyumba nzuri ya kuanzia maisha ya familia yako katika mazingira tulivu na yenye maendeleo? Hii ni fursa nzuri kwako! Nyumba ipo Kibugumo, Kigamboni, umbali wa takribani kilomita 1 tu kutoka barabara ya lami, hivyo inapatikana kwa urahisi na ina mazingira mazuri ya makazi. Imejengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa SQM 300, ikitoa nafasi ya kutosha kwa shughuli za familia pamoja na maboresho ya baadaye. Nyumba ina: Vyumba 3 vya kulala Chumba 1 Master Bedroom Sebule yenye nafasi nzuri Jiko Public Toilet Nyumba hii ni chaguo bora kwa wanaoanza maisha ya familia au wale wanaotafuta makazi ya kudumu katika eneo linalokua kwa kasi. Mazingira yake ni salama, tulivu na yanafaa kwa malezi bora ya familia.
3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale3bdrm House in Kigamboni for sale
TSh 48,000,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif