Jipatie Viwanja Hivi Bora Kabisa Luguruni Nusu Kilomita
1/5
Dar es Salaam, Kinondoni, Kibamba, 06/05
4 maoni
Jipatie Viwanja Hivi Bora Kabisa Luguruni Nusu Kilomita
+1
Ardhi ya Biashara
Aina
850sqm
Mita za mraba
Kibiashara
Matumizi ya Sifa
Usambazaji wa Gesi, Mfereji wa Maji ya Mvua, Maegesho ya Gari, Usambazaji wa Maji, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima
Vituo vya
Jipatie viwanja hivi bora kabisa kwa makazi Viwanja vipo Luguruni Mbezi Dar Es salaam
Ukubwa kuna viwanja vipo nusu kilomita tu kutoka Morogoro road Ukubwa qmt 850,930,viwanja hivi vinafaa makazi na ofisi & Lodge Viwanja Vina Title deed pia tunamladi mkubwa upo kilomita 2.5 vimepakana na Mlogazila mladi una viwanja 16 vimepimwa malipo mpaka miezi 3 qmt moja inauzwa 25000 pia tunaviwanja bora kabisa vipo karibu na barabara