tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Chakula na vinywaji
  4. Nafaka
Pwani, Kibaha, 19/09
16 maoni

McHele Jumla Na Reja Reja

+1
Nafaka
Aina
Nyingine
Mahitaji ya chakula
Mchele Mweupe
Nafaka
5000g
Uzito
Uwasilishaji
Nchini kote
1-2 mchana
TSh 5,000 - 15,000
Acm msimbe super moro mchele tunauza mchel wa aina tatu 1.mchele joto(huu maalumu kwa wagonjwa wa kisukari 2.mchle wa mbawambili... huu ni mchele mzuri kwa unaliwa na watu wote.sifa kuu ya mchele huu... umebeba madini ya pantothenic acid na wanga ambao unaweza kutumia maji yake baada ya kuosha ukanawia... huondoa chunus na mafuta usoni... pia mchele huu hupunguza hatari ya salarani ya tumbo na utumbo wa chakula 3.salo... huu ni mchele ambao unafaa zaid kwa wale wanotengeneza unga wa lishe... vitumbua... uji wa watoto(wanaita madida)... lakini unawafaa sana wazee wenye umri kuanzia miaka 50 nakuendelea bei zetu ni rafiki kutegemeana na nahitaji yako kwa sasa bei ya soko 1.mchele joto jumla 3000/kg kuanzia kg 25 reja 3400/kg 2.mbawambili jumla 2200/2300/kg kuanzia 50kg reja 2500 3.salo jumla 1800/1900/kgjumla reha 2000/2100
McHele Jumla Na Reja Reja
TSh 2,400
Inaweza kujadiliwa

TSh 2,200

≥ vipande 2
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif