solarmax led tv inchi 32 – picha nzuri na muonekano wa kisasa!
furahia burudani nyumbani kwa kutumia solarmax 32 inch led tv yenye muonekano wa kisasa wa frameless.
sifa za tv hii:
- screen kubwa ya inchi 32.
- muonekano wa frameless (kingo nyembamba).
- hdmi kwa kuunganisha vifaa vingine.
- usb kwa kutumia flash.
- ac/dc power support.
- rangi nzuri na picha zenye mwonekano mzuri.
- muundo mzuri unaopendezesha sebule yako.
- inafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini na sehemu za biashara.
tv inapatikana ikiwa mpya kwenye boksi.
mahali: kasulu, kigoma.
wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kuagiza.
b family electronic shop
ubora na huduma bora kwa wateja wetu!