tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Mali
  3. Mali ya Biashara Inauzwa
  4. Shule zinazouzwa
Iringa, Iringa Manispaa, 28/03
6 maoni

Shule Ya Sekondari Inauzwa

+1
Shule
Aina ya mali
Tagamenda street
Anwani
Bila samani
Samani
Chini ya ujenzi
Hali
41277sqm
Mita za mraba
10+
Nafasi za Maegesho
Yes
Maegesho Salama
Shule shule ipo upande wa mashariki iringà halmashauri,kutoka ipogolo ni 10km, barabara ni lami mpaka shule, ina wanafunzi wa bweni 35 usajili wake wa wizara na pamoja na wa necta eneo lililopimwa ni 6.3 hekari lisilopimwa ni ekari 4 Shule ni ya sekondari shule ina madarasa manne yanayotumika, ukumbi moja maabara moja na ya pili ipo kwenye msingi, ofisi tatu, jengo la utawala na jengo moja halijakamilika kama bweni la wanafunzi wa kike kama picha zinavyoonekana
Shule Ya Sekondari InauzwaShule Ya Sekondari InauzwaShule Ya Sekondari InauzwaShule Ya Sekondari InauzwaShule Ya Sekondari InauzwaShule Ya Sekondari InauzwaShule Ya Sekondari Inauzwa
TSh 450,000,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Ni salama zaidi kutolipa mapema ukaguzi
  • Waulize marafiki au mtu unayemwamini akusindikize kutazama
  • Angalia kuzunguka ghorofa ili kuhakikisha kuwa inakidhi matarajio yako
  • Usilipe mapema ikiwa hawatakuruhusu uingie mara moja
  • Thibitisha kuwa maelezo ya akaunti ni ya mmiliki sahihi wa mali kabla ya kuanza malipo
frame_left.gif