tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ajira
  3. Kazi za Mauzo na Uuzaji wa Uuzaji wa simu
  4. Sales Ajira
Mwanza, Ilemela, siku 2 zilizopita
15 maoni

Sales Agent

+1
Aina ya kazi
Wakati wote
Mpangilio wa Kazi
Afisi
Tarehe ya mwisho ya Maombi
10/10/2026
Majukumu
Kazi yako ni Kupost bidhaa kutoka kwetu,kutafuta wateja unachukua odda malipo yanafanyika kwa akaunti ya ofisi na malipo yakiwa approved unapokea asilimia ya bidhaa uliouza Mfano.pochi 20,000 wewe utakuwa na 10% kwenye bidhaa hiyo sawa na tsh 2,000 na suala la derivary unatuachia sisi.
Ujuzi Unaohitajika
Hakuna ujuzi wowote unao hitajika cha muhimu na cha kuzingatia programu hii ni wakazi wa mwanza,kuwa na smartphone pamoja na network
Mahitaji ya chini ya Kufuzu
Hakuna kiwango cha elimu kinachohitajika.
Uzoefu wa chini
chini ya mwaka moja
Malipo ni kulingana na jitihada zako namna unavyo promot bidhaa
Commission
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe ada ya kutuma maombi ya kazi/kufanyiwa mahojiano
  • Epuka kwenda kwa mahojiano katika anwani isiyo rasmi ya ofisi
  • Fanya utafiti wako wa kina na uangalie habari kuhusu kampuni
  • Usiwahi kufichua maelezo ya kibinafsi kabla ya kupata ofa ya kazi
frame_left.gif