Maegesho ya Gari, Bomba la maji taka, Usambazaji wa Stima, Mfereji wa Maji ya Mvua, Usambazaji wa Maji
Vituo vya
Kiwanja na nyumba ya vyumba vitatu vya kulala vyote master sebure kubwa dining jiko na stoo inapatikana Mwanza barabara ya airport Mwanza, kiwanja kinaanzia kwenye barabara ya lami, n kikubwa sana pana ukubwa wa 2698 square meters, pana hati miliki, unaweza jenga apartment,makazi, hotel, gest nursery, showroom ya gar nk panauzwa 900million karbu sana cm075XXXXXXX